Tunduma City Mabingwa Ligi Ya U17 Tunduma Chini Ya Kocha Mkuu Jumanne Mwangasame. | Tunduma City Academy

Monday, 25 January 2016

Tunduma City Mabingwa Ligi Ya U17 Tunduma Chini Ya Kocha Mkuu Jumanne Mwangasame.

Kocha mkuu Mwangasame na Baadhi ya wachezaji Tunduma city U17.



Fainali ilifanyika siku ya jumapili katika uwanja maarufu wa shule ya msingi Tunduma ikiwakuta nisha Tunduma city wenyewe na Stone city zote zikiwa Academy Mpira huo uliamuliwa kwa matutaa baada ya matokeo ya kwa ya uwanjani kutoka suruhu ya goli 2 - 2.



Tunduma city Academy iliibuka kwa kupata mikwaju 3 kwa 2 dhidi ya wapinzani wao Stone city na kupata kombe lenye thamani ya 150,000Tsh.



Baadhi ya wachezaji Tunduma city U17 wakijiandaa na mechi hiyo

Jumannne Mwangasame



Mchanganyiko wa Kikosi cha wakubwa na U17



1 comments:

  1. xn mafundi zng...... Tudumixhe upendo tu kwan
    ni mbali tumetoka

    ReplyDelete