Kikosi Cha Mauaji Kilipokuwa Kinaingia Dimbani Na Moja Kati Ya Mechi Katika Mzunguko Wa Makundi... | Tunduma City Academy

Saturday, 12 September 2015

Kikosi Cha Mauaji Kilipokuwa Kinaingia Dimbani Na Moja Kati Ya Mechi Katika Mzunguko Wa Makundi...

Kocha Mkuu Jumanne Mwangasame kulia akimkabidhi jezi mchezaji wake Kelvin Sanga maarafu kama Ramines,Kwambali anaonekana kocha msaidizi ndani ya jezi nyeupe Michael akiwa na Mchezaji wake Kamwambi kabla ya mechi.



Kocha Mkuu Jumanne Mwangasame akiwa na mchezaji wake kabla ya mechi Erasto ( Mashebi)


Moja ya wachezaji wa Tunduma city academy golikipa Teddy,akifuatia Kelvin,Mpoki,Ramadhan,Maneno,Kamwambi,Rombe,Erasto,Dinho,Adili.


Golikipa Teddy akiwa na Mpoki.






Kikosi cha Tunduma City Academy Moja ya wachezaji wa Tunduma city academy golikipa Teddy,akifuatia Kelvin.Mpoki,Ramadhan,Maneno,Kamwambi,Rombe,Erasto,Dinho,Adili.

Kocha Mku Mwangasame na Msaidizi akionekana ndana ya shati jeupe Michael,Kamwambi pamoja na Rombe.


Kikosi cha Tunduma city Moja ya wachezaji wa Tunduma city academy golikipa Teddy,akifuatia Kelvin.Mpoki,Ramadhan,Maneno,Kamwambi,Rombe,Erasto,Dinho,Adili,David.



Kelvin na Mpoki kabla ya mechi.





0 comments:

Post a Comment