![]() |
issa kabuka |
Issa Kabuka ni miongoni mwa wachezaji wa Tunduma city academy tangu mwaka 2009 mwezi wa tano kipindi timu ikiwa inanzishwa chini ya Kocha Mkuu Jumanne Mwangasame.
![]() |
Miongoni mwa jezi zenye jina lake |
![]() |
Issa kabuka/ Tunduma city academy |
Licha ya kuwahi kushika nyazifa mbali mbali za uongozi katika timu hiyo ikiwemo Unahodha pamoja na usemaji mkuu wa timu na kushirikishwa katika mambo ya ushauli, Issa Kabuka ni miongoni mwa wachezaji wenye nidhamu,upendo na timu pamoja na kujituma uwanjani.
Gud man
ReplyDeletefne beki ang
ReplyDelete