Moja ya wachezaji wa Tunduma city academy wakijianda na Ligi ya UMIT CUP katika mji dogo wa Tunduma iliyoanza tangu tarehe 20/6/2015 | Tunduma City Academy

Monday, 6 July 2015

Moja ya wachezaji wa Tunduma city academy wakijianda na Ligi ya UMIT CUP katika mji dogo wa Tunduma iliyoanza tangu tarehe 20/6/2015


Baadhi ya wachezaji wa Tunduma city wakiwa katika uzi wa timu teyari kuingia katika dimba.anayeonekana mbele ya picha ni mlinda lango Zabron Charles,Haji Bensoni ndani ya Unahodha, Andrew Sikanyika katika maongezi na Denis Kamwambi

Haji Bensoni akiwa na Hery Mwakatobe kabla ya mechi

Miongoni mwa wachezaji wa Tunduma City Academy, Isaya Mdala,Haji Benson,Aggrey Sawala,Devid Lewis,Rayton Sanga na Adili Simwanza,," Hata hivyo baada ya mechi walitoka 0 - 0 Dhidi ya Super Galasy



0 comments:

Post a Comment