![]() |
Kocha mkuu Mwangasame na Baadhi ya wachezaji Tunduma city U17. |
Fainali ilifanyika siku ya jumapili katika uwanja maarufu wa shule ya msingi Tunduma ikiwakuta nisha Tunduma city wenyewe na Stone city zote zikiwa Academy Mpira huo uliamuliwa kwa matutaa baada ya matokeo ya kwa ya uwanjani kutoka suruhu ya goli 2 - 2.