Kikosi kilicho angamiza 9 - 0 mbele a Majengo Fc Katika uwanja wa Shule ya msingi Tunduma ndani yaligi ya UMIT CUP
. Kutoka kushoto kwa walio simama Emanuel Mwaitege, Erasto(Mashebi),Dinho, Rombe, Kelvin na mpoki, upande wa walio chuchumaa kutoka kulia Golikipa Teddy,Kamwambi, Kelvin Sanga,Ramadhan akifuatia na Maneno.
|