Issa
Kabuka ni miongoni mwa wachezaji wa Tunduma city academy tangu mwaka
2009 mwezi wa tano kipindi timu ikiwa inanzishwa chini ya Kocha Mkuu
Jumanne Mwangasame.
Baadhi ya wachezaji wa Tunduma city wakiwa katika uzi wa timu teyari kuingia katika dimba.anayeonekana mbele ya picha ni mlinda lango Zabron Charles,Haji Bensoni ndani ya Unahodha, Andrew Sikanyika katika maongezi na Denis Kamwambi