Tunduma City Academy

Friday, 8 September 2017

Historaia Ya Enock Sikaonga Maarufu Kama Dinho Katika Ulimwengu Wa Soka.





Marehemu Enock Sikaonga maarufu kama Dinho alipatwa na umauti tarehe 20 - 8 mwaka 2017 siku ya Jumapili majira ya saa Tisa alasiri akiwa nyumbani akiendelea bado na matibabu muhimu. Ni mara Baada ya kutoka hospitali ya Ikonda Njombe kutokana na matatizo ya Vidonda shingoni, Kuiishiwa nguvu na magonjwa nyemelezi.

Monday, 25 January 2016

Tunduma City Mabingwa Ligi Ya U17 Tunduma Chini Ya Kocha Mkuu Jumanne Mwangasame.

Kocha mkuu Mwangasame na Baadhi ya wachezaji Tunduma city U17.



Fainali ilifanyika siku ya jumapili katika uwanja maarufu wa shule ya msingi Tunduma ikiwakuta nisha Tunduma city wenyewe na Stone city zote zikiwa Academy Mpira huo uliamuliwa kwa matutaa baada ya matokeo ya kwa ya uwanjani kutoka suruhu ya goli 2 - 2.

Saturday, 12 September 2015

Kikosi Cha Mauaji Kilipokuwa Kinaingia Dimbani Na Moja Kati Ya Mechi Katika Mzunguko Wa Makundi...

Kocha Mkuu Jumanne Mwangasame kulia akimkabidhi jezi mchezaji wake Kelvin Sanga maarafu kama Ramines,Kwambali anaonekana kocha msaidizi ndani ya jezi nyeupe Michael akiwa na Mchezaji wake Kamwambi kabla ya mechi.

Thursday, 20 August 2015

Picha 9 Za Kikosi Cha Tunduma City Academy kilicho angamiza 9 - 0 Mbele Ya Majengo Fc Chini Ya Kocha Mkuu Jumanne Mwangasame.

Kikosi kilicho angamiza 9 - 0 mbele a Majengo Fc Katika uwanja wa Shule ya msingi Tunduma ndani yaligi ya UMIT CUP
.  Kutoka kushoto kwa walio simama Emanuel Mwaitege, Erasto(Mashebi),Dinho, Rombe, Kelvin na mpoki, upande wa  walio chuchumaa kutoka kulia Golikipa Teddy,Kamwambi, Kelvin Sanga,Ramadhan akifuatia na Maneno.


Monday, 6 July 2015

Wasifu Wa Issa Kabuka Kama Mchezaji Na Miongoni Mwa Waanzilishi Wa Tunduma City Academy


issa kabuka

 Issa Kabuka ni miongoni mwa wachezaji wa Tunduma city academy tangu mwaka 2009 mwezi wa tano kipindi timu ikiwa inanzishwa chini ya Kocha Mkuu Jumanne Mwangasame.

Moja ya wachezaji wa Tunduma city academy wakijianda na Ligi ya UMIT CUP katika mji dogo wa Tunduma iliyoanza tangu tarehe 20/6/2015


Baadhi ya wachezaji wa Tunduma city wakiwa katika uzi wa timu teyari kuingia katika dimba.anayeonekana mbele ya picha ni mlinda lango Zabron Charles,Haji Bensoni ndani ya Unahodha, Andrew Sikanyika katika maongezi na Denis Kamwambi